KINANA KUTUMWA INDIA KWA AJILI YA MATIBABU?

Nimemsikia rais akisema kwamba amemtuma kinana kwenda india kutibiwa.
Hivi jamani mtu atatumwaje kwenda kutibiwa? Sikuhizi haeleweki kabisa huyu mzee

https://www.jamiiforums.com/threads/kinana-kutumwa-india-kwa-ajili-ya-matibabu.1223583/

Hii ni njia ya kutusadikisha kuwa Kinana anaumwa ili asiweze kukutana na waandishi wa habari kama ilivyorushwa na mitandao mbalimbali.